RAISI JAKAYA KIKWETE AUNGWA MKONO NA WAPINZANI HUSUSAN CHADEMA M4C PAMOJA DAIMAI
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, FREEMAN AIKAELI MBOWE ameviomba vyama
vyote vya siasa kuunga mkono Hotuba ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ya kuvitaka vyama hivyo kutanguliza
maslahi ya Taifa badala ya maslahi ya vyama vyao wakati wa Bunge la
Katiba ambalo wajumbe wake watatangazwa na mh.Rais leo tarehe 07/02/2014
na kuanza rasmi vikao vyake tarehe 18/02/2014 mjini Dodoma.