Tuesday, February 11, 2014

MUIGIZA MAARAFU WA NIGERIA IHEME a.K.a PAWPAW(UKWA) ANATARAJIA KUFUNGA NDOA YA SIRI NA MKE MTARAJIWA UYU HAPA

                
Anaitwa Osita Iheme a.k.a

‘Pawpaw’ ambaye hapa tanzania ni maarufu kwa sana hivi karibuni anategemea kumuoa rasmi mchumba wake mrembo kutoka nchi jirani ya ghana, hiii ni baada ya pacha wake wa kimaigizo Chinedu aka AKI kufunga ndoa , msanii huyo ameshakamilisha maandalizi yote ya harusi na anasubiri siku ifike atangaze siku maalum ya harusi hiyo pia amedai ndoa hiyo itakua ni ya siri ili kuwaepuka mapaparazi na vyombo vya habari tazama picha za mrembo huyo hapa chiniNana and Pawpaw Having Fun at the beach
Nana Ama Nana