HUU NDO UFUSKA UNAOENDELEA NA WANAWAKE WALIOVURUGWA,AIBUUUU TUPU

dada
wawili ambao majina yao hayakupatikana mara moja... hivi juzi walitoa
mpya baada ya kukunjana kisa mwanaume.... shuhuda wa tukio hilo
waliieleza MTANDAO HUU kuwa dada hao ni marafiki wa siku nyingi tu na
inasemekana wamesoma wote shule ya sekondari...inadaiwa urafiki wao
uliingia dosari baada ya mmoja huyo mwenye gauni la zambarau kumchukua
bwana wa mwenzie... hii na baada ya rafki yake huyo kuumwa na kulazwa
kwa kipindi cha mda mrefu... baada ya kuchoshwa na kitendo cha
kuchukuliwa laazizi wake ndipo alimvizia dada huyo wakati akitoka
dukani na ndipo wawili hao walipoanza kuzichapa kavukavu.... mmmh
kweli mume wa mtu sumu ...... kah...