
Kombe la Dunia linatarajiwa kufika leo Dar es salaam kisha watu mbalimbali wataruhusiwa kwenda kulishuhudia,Shughuli ya kulishuhudia live kombe la dunia itaanzia uwanja wa Taifa Dar es salaam jioni ya leo kisha kombe litaelekea Mwanza.

Upande wa Mwanza kombe litapokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye uwanja wa Ccm Kirumba,wakazi wa Mwanza pia watapata nafasi ya kulishuhudia kombe hilo.
kombe la Dunia linataraijiwa kuanza mwaka 2014.