Meneja Uhusiano
wa Nje wa Vodacom Tanzania,Bw.Salum Mwalim akiongea na waandishi wa
habari(hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi katoni hamsini
za maji na fulana 1,000 kutoka Vodacom kusaidia matembezi ya hisani
yanayofanyika kesho Jumamosi 12 Oktoba, 2013 jijini Dar es salaam kuleta
hamasa kwa wananchi kuchangia kampeni ya kumaliza uhaba wa madawati
katika Manispaa ya Ilala. Kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo
Jerry Silaa aliyendaa matembezi hayo. |