Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na
waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM-Lumumba Dar es Salaam. Alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu masuala
yahusuyo
Mchakato wa Katiba mpya na kusema "tunaheshimu tume,tunaimani nayo na
tunaahidi ushirikiano wa kutosha katika mchakato wa Katiba".