
Hili ni Jarida jipya hapa Tanzania ambalo naambiwa Watanzania wataanza
kulipata mitaani kuanzia kesho Ijumaa ila leo badae Amplifaya ya Clouds
FM itafanya mpango wa kusikia kutoka kwa Jokate mwenyewe…. kaa karibu na
mtu wako wa nguvu millardayo kwenye facebook, twitter na instagram kwa
info zaidi.
