Raisi Dr JAKAYA KIKWETE AKIFUNGUA OFISI YA UBALOZI WA TANZANIA UKO SAN FRANCISCO MAREKANI AKIWA NA BALOZI WA TANZANIA Mh.AHMED ISSA
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa
Heshima wa Tanzania jijini San Francisco Mh. Ahmed Issa, (wa pili
kushoto) muda mfupi baada ya kufungua ofisi za ubalozi wa Tanzania
jijini San Francisco nchini Marekani jana. Kushoto ni Balozi wa Tanzania
nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula na kulia ni mke wa balozi Ahmed
Mama Sherry Julin Issa.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi ofisi ya ubalozi wa heshima (Honorary Consulate) wa Tanzania jijini
San Francisco nchini Marekani jana jioni. Kulia ni Balozi wa heshima wa
Tanzania jijini San Francisco Mh. Ahmed Issa na kushoto ni Balozi wa
Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula. Wa pili kushoto ni Mke
wa Balozi Mama Sherry Julin Issa. (Picha na Ikulu)