Tuesday, June 18, 2013

WAZIRI MSTAAF EDWARD LOWASA ANUSURIKA TUKIO LA ARUSHA IVI SASA

Mabomu yalianza muda mfupi baada ya polisi mmoja kujichanganya na raia ambao walimtaka atoke, pia viongozi wengine wa Chadema wameonekana wakiruka kutoka jukwaani kuokoa maisha yao.
Mbali na watu kutawanywa kwa mabomu hayo,Waziri Mkuu aliyejiuzuru Edward Lawassa amenusurika kufa huku gari lake likiharibiwa vibaya.