BREAKIN NEWS ARUSHA BALAAAAA
Breaking
News:Polisi hivi sasa wanapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa
CHADEMA waliofurika katika uwanja wa Soweto Mjini Arusha ulipotokea
mlipuko wa bomu Jumamosi kuomboleza ambapo polisi inasema mkusanyiko huo
si halali
Gari la Lissu ladaiwa kuteketezwa vibaya kwa bomu
- Pikipi zadaiwa kuharibiwa vibaya
- Hali ya taharuki yatawala
HABARI KAMILI ENDELEA KUWA NASI