Sunday, June 23, 2013

FULSA BONGO ZINA ZIDI KUONGEZEKA AJIRA LIVE HAPA

 Vijana Ajira Inakuletea Mfumo wa Kuwasilisha taarifa Zako kwa Mwajiri Unaye Mtarajia. Ni Rahisi Sana, Ingia: http://vijanaajira.or.tz/tuambie tuambie Kisha Jaza fomo Itakayotokea. Zingatia weka E-mail address na Namba ya Simu. Daima mafanikio ni Juhudi zako. Hii ni kwa wahitimu na wanao tarajia kuhitimu — at Connectmoja Tech. Co.