BREAKING NEWS KAULI YA WAZIRI MKUU
BREAKING NEWS!!!!!!!
Waziri mkuu Pinda kuburutwa Mahakamani kwa Kauli yake ya kuhamasisha Polisi Kupiga Raia.
Wanasheria wasema kwa kauli ambayo imetolewa na Kiongozi mkubwa kama
yeye ambaye aliapa kuitetea Katiba na kuilinda...kwa kitendo chake cha
kuhamasisha Uvunjivu wa Katiba anatakiwa ashitakiwe mbele ya Sheria...!!
Stay tuned