BREAKIN NEWSS
MTOTO
ALIYEJERUHIWA
MLIPUKO WA BOMU
ARUSHA AFARIKI
DUNIA. Mtoto Fahad Jamal alipotembelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk
Emmanuel Nchimbi kwenye chumba cha ICU siku chache zilizopita.Mtoto
Fahad
Jamal (7) ambaye hali yake ilikuwa mbaya na kulazwa chumba cha
wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Selian
kufuatia kujeruhiwa na bomu katika mkutano wa Chadema Arusha Amefariki
dunia