BREAKIN NEWS MUANDISHI WA HABARI MAARUFU AFARIKI DUNIA LEO!!
MWANDISHI WA HABARI WA CHANNEL TEN CHARLES HILILA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Kituo cha Channelten Bw.Charles Hilila
amefariki dunia saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga
ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya
Malaria iliyokuwa ikimsumbua kwa muda wa siku chache zilizopita...MUNGU
AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU CHARLES HILILA ,AMENI