Wednesday, June 19, 2013

BALAAAA KINACHOENDELEA JIJINI ARUSHA SASA


 wananchi wakiwa kwenye uzio wa hospitali ya Seliani wakiimba na kumdai mbunge wao ili waondoke nae.

WAANDAMANA MPAKA ARUSHA, WAMTAKA MBUNGE WAO NASSARI NA KUONYA KAMA SERIKALI AINA ULINZI WATAMLINDA WENYEWE

WAZUNGUKA NA MAJANI MJI MZIMA NA KUZINGIRA HOSPITALI YA SELIAN.,WASHANGA KWANINI WALIO HUSIKA AWAJA KAMATAWA?WAIZINGILA HOSPITALI NA KUONYA KITAKACHO MPATA MBUNGE WAO WENYEWE WATAJIBU.HOFU YATANDA WANAUSALAMA WASHAULI NASSARI AHAMISHIWE.KUNAUVUMI KUWA MABOMBA YA KUPELEKA MAJI MONDOLIYAKATWA.