SHOW YA MKUBWA NA WANAWE NI FUNIKO NDANII YA MAISHA CLUB UKISINDIKIZWA NA MASTAR KIBAO,,MADEE.TUNDAMAN,,N,K
Huu
ulikua ni usiku wa Mkubwa na wanawe ambao wasanii toka kundi la Mkubwa
na wanawe walipata nafasi ya kuperfoam na kufurahi pamoja na mashabiki
waliohudhuria show hii iliyofanyika New Maisha Club ya 88.5 Dar es salaam. Tip Top
Connection iliongozwa na Madee,Tunda Man na Ray kutoka Tmk Wanaume
Family waliowakilishwa na Temba,Chege na Stico na kundi la mkubwa na
wanawe miongoni mwa wasanii walioimba nyimbo zao ni Aslay na Gift yule
aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa Chapa Nyingine ya Chege.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.