Monday, February 3, 2014

WAATHIRIKA WA UPEPO IRINGA WAPOKEA MSADA WA CHAKULA KUTOKA BENKI YA NMB

Screen Shot 2014-02-03 at 10.31.19 AM
Meneja wa Tawi la NMB Mkwawa,Sumka Mbuba pamoja na  Afisa Mikopo Grace Ndosa  wakishusha vyakula vyenye thamani ya shilingi milioni tano kutoka kwenye gari ili kukabidhi kwa waathilika wa upepo mkali ulioacha familia nyingi bila makazi na chakula katika kata ya Izazi mkoani Iringa.
Screen Shot 2014-02-03 at 10.31.08 AMMaofisa wa benki ya NMB tawi la Mkwawa wakikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa vijijini, Stevene Mhapa (Pili kushoto). Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni tano ulitolewa na benki ya NMB kwa waathirika wa upepo mkali ulioacha familia nyingi bila makazi na chakula. Kutoka kulia ni Grace Ndosa, Sumka Mbuba, Sumka Mbuba, Focus Lubende na Lucas Ndondole. Makabidhiano haya yamefanyika kijiji cha Izazi.