Saturday, February 8, 2014

HUU NI UKALIMU WA RAISI WETU Dr JK KWA WAGENI NAO WAMPONGEZA NA KUHAIDI KULIPA FADHILA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Bwana Joe Ricketts ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Opportunity Education Foundation ya Marekani.Rais Kikwete alimwandalia mgeni wake chakula cha usiku.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipa zawadi ya kinyago cha mpingo Bwana Joe Ricketts wakati wa chakula cha usiku alichomwandalia ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Bwana Ricketts amezifadhili shule kadhaa hapa nchini kwa teknolojia ya teknohama kwa kuzipatia tablets kuboresha mbinu za kisasa za kujifunza.