HIVI NDIVO ARSENAL WALIVO POKEA KICHAPO NA HAYA NDO MAGOLI YOTE
TIMU YA ARSENAL SASA HUENDA IKA SHINDWA KURUDI KILELENI KWA KILE KILICHO TOKEA JANA KWA KICHAPO CHA MAGOLI MATANO TOKA LIVERPOOL NA KUIPISHA CLUB YA CHELSEA KUSHIKILIA USKANI WA UINGEREZA