BREK... NEWZZZZZZZZ,,,,,, GARI LA ABIRIA LAWAKA MOTO MAENEO YA VINGUNGUTI NYERERE ROAD JIJINI DAR ES SALAAM
Kikosi
cha jiji cha uokoaji na zimamoto wakishirikiana na polisi trafiki
kuzima moto uliokuwa ukiteketeza basi la abiria katika eneo la
Vingunguti Barabara ya Nyerere Dar es Salaam leo .