Ni
show ambayo imehudhuriwa na wabongo kutoka area tofautitofauti za Dar
es salaam pamoja na mastaa kadhaa wakiwemo Mwana FA, Izzo B, Jux, Adam
Mchomvu, Ay na wengine ambao utawaona kwenye video za AyoTV
zitakazowekwa hapa soon.
Director
Nisher ambae ndio ameifanya video ya ‘nje ya box’ nae alipata nafasi ya
kutokea stage na kutoa shukrani kwa dakika kadhaa.
Joh Makini kwenye stage.
Adam Mchomvu