Wednesday, October 9, 2013

WEMA NA DIAMOND WAMERUDIANA AU LAAAH!!! JIBU HILI APA

gg
Leo 9/10 kuna picha zimetoka kwenye internet pamoja habari kwamba eti Wema na Diamond walikutana  huko Malaysia. Hakuna kati ya mmoja wao alisema chochote kwa kukubali au kukanusha kuhusu hizi picha, lakini hembu tutumie macho kwa kufananisha hizi picha na upate jibu lako
wema2
Angalia picha ya juu hair style ya Diamond na mawani aliyovaa. Picha ya juu alipiga Diamond akiwa dukani huko Malaysia na picha ya chini ni moja ya picha zilizovuja
DIAMOND-WEMA

Angalia tena picha ya juu hair style ya Wema pamoja na hand bag yake, then angalia picha ya chini hair style ya Wema pamoja na begi lake. Picha ya juu ni moja kati ya zilizovuja na ya chini alipost Wema akiwa bara la Asia lakini ilisemaka yupo Hongkong
wema1
Angalia simu aliyotumia Wema kupiga hizi picha hapo chini na juu, picha ya chini nayo imevuja
ggAngalia picha ya chini na ya juu, chini enzi za zamani.Kipindi hicho walikuwa na hair style hizo lakini hizo za juu zinaonekana kuwa ni muonekano  wa sasa
gggg
Hakuna habari za kuthibitisha kama kweli wawili hawa walikuwa wote huko kama inavyoripotiwa na vyombo vingi, lakini wakati Diamond yupo kwenye show Malaysia na Wema alikuwa ana post picha kwenye Instagram yupo HongKong