
‘Hebu
tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko kimahusiano basi
msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? Futeni huo uzamani na mbadilike,
inamaana mnapenda kuona watu wanauadui… ni muda wa kufanya kazi ili
Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania na si kuekeana chuki zisizo na
faida, I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA’ – Diamond Platnumz
Hii picha ya chini ni ya enzi hizo..