Thursday, October 10, 2013

PENNY AKANUSHA UVUMI WA KUWA YEYE AMEZIMIA BAADA YA KUONA PICHA ZA WEMA NA DIAMOND WAKIWA PAMOJA



Girl Friend wa msanii wa bongo fleva 'Diamond' leo jioni amenitumia text kunifahamisha kuwa ' Alikuwa Kazini Siku Nzima Na Kuwa Hajapata Tatizo Lolote Leo Kuhusu Afya Yake. Taarifa Zilizo Sambaa Kuwa Alizimia Na Kupelekwa Hospitalini Sio Za Kweli Kabisa.


Pole Mamy, Drama Seems To Find U Kila Wakati.