FIESTA MOSHI ILIKUWA NOMA SANAAAAA IKIWA NA MASTAA KIBAO NDANI NA NJE YA TANZANIA
Shilole kama kawaida Shilole akiwa kazini baada ya kutoa mwaliko wa kudance na shabiki Juma Nature na timu yake.. Chege na Temba Godzilla… Cassim Mganga Young Killer Mwanza Mwanza Stamina… Kingzillah… Mr Blue Ay Mwana FA J
Martins wa Nigeria nae alikuwepo kufanya showa mbapo kama ilivyotekea
kwa show yake ya kwanza ya Fiesta pale 96.0 Tanga, J aligawa zawadi kwa
fans aliowaita yeye mwenyewe kwenye stage…. Tanga aligawa cheni pamoja
na pesa na Moshi kagawa saa na pesa kwa mashabiki wawili tofauti. Weusi kwenye stage Hii picha ya juu na ya chini ni shangwe walilopigiwa Weusi wakati wakiwa kwenye stage Dullysykes… Rich Mavoco Jambo Squad… Mamong’o Show ilihostiwa na B12 na Dj Fetty kutoka XXL ya Clouds FM. Ney wa Mitego Linah Sanga… Christian Bella… Menina akiwa backstage baada ya kufanya show… Ally Nipishe Mmetisha watu wangu wa nguvu Moshi…. hongereni kwa kumaliza ticket aisee! daaah