Monday, October 28, 2013

BREAKING;;MWANAJESHI WA KITANZANIA APOTEZA MAISHA KATIKA VITA VYA WAASI WA M23 CONGO


 Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania Mwanajeshi kwa jina RAJABU AHMAD MLIMA katika Vita vya waasi huko Congo ..Alikuwa katika Jitihada za kuwalinda wakazi wa mji wa Kiwanga nchini humo pamoja na wanajeshi wengine wa Umoja wa Mataifa ....Mungu Ailaze mahali pema Peponi Roho yake ....Amen