SIKU CHACHE ZIMEBAKI KWA AJILI YA UZINDUZI WA VIDEO YA AY,FA FEAT J MARTINS CHEZA BILA KUKUNJA GOTI NDANI YA ELEMENTS
Baada
ya kuungana ndani ya studio za MJ Records na baadae tena ndani ya South
Africa yote kwasababu ya wimbo wa “Bila kukunja goti”, kwa mara ya tatu
wakali hawa watatu wataungana tena ndani ya jiji la Dar kwa ajili ya
uzinduzi wa video hiyo. Uzinduzi huo utafanyika ndani ya
Elements siku ya tarehe 13 mwezi huu kwa kiingilio cha TSh 20,000.
Party hiyo ambayo ipo chini ya udhamini wa Vodacom na Heineken imepewa
jina la “East Meets West Party”.
AUDIO YA BILA KUKUNJA GOTI
Kama ulipitwa na picha za utengenezaji wa video ya Bila kukunja goti, mambo yalienda hivi