Rais Dkt Jakaya Kikwete akitembea kwa miguu kutoka hotelini kwake
kuja kwenye Ubalozi wa Tanzania Marekani siku ya Jumatano Sept 18, 2013
na kukutana na Mabaozi wa Heshima ambao jana Jumatano wasaini mikataba
ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataofanyakazi wakiiitangaza Tanzania
nchini Marekani kwa ajili ya uwekezaji, Utalii na mambo mengine
yatakayosaidia kuinua uchumi wa Tanzania.
Rais Dkat Jakaya Kikwete akisalimiana na Maafisa Ubalozi wakiwemo
wafanyakazi mara tu alipoingia Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
uliopo barabra ya 22, Washington, DC
Rais Dkt Jakaya Kikwete akitia saidi kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku Mhe. Waziri
Bernard Membe na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakishuhudia.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama William alipokua akiingia chumba cha mikutano cha Nyerere
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa Mabalozi wa Heshima
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Kjell Bergh kutoka Minnesota
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon Ahmed Issa kutoka California
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa
Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema
sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa
na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya saa kutoka kwa Balozi wa
Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan.