MZEE WA TUPOGO (OMMY DIMPOZI) AKISHEREKEA MIAKA KADHAA YA KUZALIWA KWAKE NA MASTAA KIBAO NDANI YA ELEMENT
Party
kubwa amefanyiwa star wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz, ilipambwa na marafiki
na stars tofauti kutoka Tanzania. J Martin, Ay ,Mwana Fa, Fid q ,Carol
Ndosi, Dj Summer, Dj Bike, Salma Mzirai, Man Walter, Tahjir, Salama J, C
pwaa, Wakazi, na wengine wengi.
Bonyeza Read More Kuona Picha Zaidi
Zawadi ya Ommy Dimpoz kutoka kwa J Martins ilikuwa cheni yenye Thamani ya Dola Za Kimarekani Elfu Kumi, $10000 Dollars.