KATIBU MKUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAISI Mh.SALULA AKIWATEMBELEA WACHEZAJI WA TIMU YAKE WAKIWA KAMBINI DODOMA
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa
Rais, Saaz Salula, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Ofisi ya Makamu
wa Rais, wakati walipokuwa katika mazoezi yao leo asubuhi kwenye uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma, kwa ajili ya mashindano ya SHIMIWI. Katibu Mkuu
alipita kuwajulia hali wachezaji wake na kujua maendeleo ya kambi hiyo.
Picha na OMR
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa
Rais, Saaz Salula, akizungumza na wachezaji wa timu ya Ofisi ya Makamu
wa Rais, wakati alipowatembelea kuwajulia hali katika Kambi yao mjini
Dodoma leo wakiwa katika mashindano ya SHIMIWI. Picha na OMR
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa
Rais, Saaz Salula, akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya
Ofisi yake, wakati alipofika katika Kambi ya timu hiyo kuwajulia hali
mjini Dodoma leo asubuhi, wakiwa katika mashindano ya SHIMIWI.