Thursday, September 12, 2013

BONGO MUVI MWENGINE ALIE NASWA NA UNGA

Msanii wa Bongo muvi ambaye pia aliwah kuwa mke wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Mohamed Mpakanjia bibie Aisha Bui anadaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Brazil.. Mtandao huu bado unafatilia kwa ukaribu ishu hii na utawaletea habari kamili muda mchache ujao.
CHANZO::http://talkbongo.blogspot.com/2013/09/msanii-mwingine-wa-bongo-movie-akamatwa.html