Tuesday, July 2, 2013

WAKUU WA DUNIA WALIPO KUTANA BONGO!!!!!! GEORGE BUSH ALIPOKUTANA NA RAIS OBAMA KABLA HAJAONDOKA LEO

 Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.