Kuna
habari mbaya ambazo zilianza kusambaa mtandaoni jana.Habari
hizo zinazomhusu msanii maarufu wa bongo movie ambaye anadaiwa
kubakwa (Mtungo ) na wanaume kadhaa.
Habari hizo zinadai kuwa, Msanii huyo wa kike mwenye jina kubwa hapa nchini
alikutwa na balaa hilo baada ya kuwachanganya kimapenzi
washikaji wawili ambao ni kama marafiki na hivyo wakaamua
kulipa...
Ili kutimiza kisasi chao, habari zinadai kuwa "mpenzi mpya" alimuomba msanii huyo wakutane hotelini ili wakafaidi maisha.Wakati huo huo, "mpenzi wa zamani" alipewa taarifa kwamba watakutana hoteli flani na saa flani.
"Mpenzi wa zamani " alitinga eneo la tukio akiwa na vijana kadhaa na kisha akabana sehemu kumsubiri mhanga wa tukio....
Muda ulipofika, msanii huyo akiwa na "mpenzi wake mpya"
waliingia hotelini hapo na kujimwaga katika chumba kilichokuwa
kimeandaliwa na kwamba ndani yake kulikuwa na vinywaji
vyakutosha.
Habari hizo zinapasha kuwa, baada ya muda flani, "Mpenzi mpya" aliaga anatoka nje kidogo..Aliporudi ndani hakufunga mlango.
Dakika chache baadaye, waliingia hao vijana wakiwa na 'mpenzi wa zamani"..Walitembeza kichapo kidogo kwa mrembo kisha wakamtia kilevi na baada ya hapo wakafaidi tunda...!!
Habari
hizi hazijathibitishwa...Ni habari ambazo ziko barabarani na
mitandaoni tangu jana.. Tunafanya jitihada za kuupata ukweli wa
mkasa huu kwa kuwasiliana na wahusika..
Tunaahidi
kulianika jina la msanii huyo baada ya UPEKUZI wetu kukamilika
ikiwa ni pamoja na kujiridhisha kwa kina juu ya SAKATA hili
la aibu