Ujumbe huu wa Irene ni ujumbe wa kutia moyo na unaweza kuwa kama “Motivation message”
kwa wadada wengi hapa mjini ili badala ya kukaa na kuwaza kupata mali
au mafanikio kwa njia za mkato au zisizo halali basi wafanye kazi kwa
bidii ili kujikwamua kiuchumi.
Tukinukuu ujumbe huo Irene kwa Johari aliandika….
“Wewe
nimwanamke wapekee...mchapakaz sana...atawaongeee vp kaza moyo...one
thng u hav to know if God say yes no body I mean no body can say no...so
don gv r f*ck
Hii inawahusu wadada wote jamani. Nyie ni wanawake wapekee, wachapakazi, kazeni moyo. If God say yes, nobody can say no
(Mungu akisema ndio hakuna awezaye kusema hapana)