JESHI LAMNG'OA LIVE RAISI
Jeshi
la Misri limemng'oa mamlakani rais Mohammed Morsi na kumuapisha rais wa
mpito Adly Mansur ambye ni jaji mkuu wa mahakama ya juu zaidi ya
kikatiba.
Hatua ya jeshi inatokana na Morsi kukoselewa kwa
kukosa kuchukua hatua za kusuluhisha mgogoro wa kisiasa wa muda mrefu
uliokumba taifa hilo.