Wednesday, July 24, 2013

BREAKING NEWZZZZ

BREAKING NEWS: KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI FREEMAN MBOWE AKAMATWA NA JESHI LA POLISI

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa  Chadema Taifa na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi mkali sana wa Polisi.

Tutaendelea kuwafahamisha wananchi kila kitakochoendelea na tunaomba watanzania Muwe watulivu.
Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi mkali sana wa Polisi.

Tutaendelea kuwafahamisha wananchi kila kitakochoendelea na tunaomba watanzania wawe watulivu.

Mungu akiwa upande wetu hakuna wa kutushinda.
----------------
Updates
----------------
Mwenyekiti Mbowe tayari ameachiwa huru baada ya majadiliano ya kina kati ya Polisi na Mawakili wa Chadema.

Polisi wamekubali mawakili wa Mbowe kujibu kwa maandishi kwanini alisema polisi wanahusika na mlipuko wa Arusha na kisha watafanyia kazi majibu hayo na kutoa uamuzi wao. - See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/07/breakin-newzzz-baada-ya-kibano-polisi.html?spref=fb#sthash.eK9IQ2wq.dpuf

Polisi wamekubali mawakili wa Mbowe kujibu kwa maandishi kwanini alisema polisi wanahusika na mlipuko wa Arusha na kisha watafanyia kazi majibu hayo na kutoa uamuzi wao. - See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/07/breakin-newzzz-baada-ya-kibano-polisi.html?spref=fb#sthash.eK9IQ2wq.dpufVV