NYOKA aina ya chatu akiwa ameshindwa
kutembea baada ya kumeza mbuzi ambapo desturi ya nyoka huyo pindi
anapomeza mnyama mkubwa huwa na kawaida ya kukaa eneo hilo la tukio kwa
zaidi ya wiki moja na kuendelea mpaka mny
ama huyo aliyemmeza aanze kuyeyuka katika tumbo lake, huyo ndiye chatu.