Kuna tetesi kuwa Ommy
dimpoz arushiwa chupa na mawe jukwaani Dodoma na kushindwa kufanya
show ya kilimanjaro muzic award Dodoma.
Wadau wa dom wasema kamwe msanii
yoyote atakaye mdisi msanii wa Dodoma Hawatamkubali kufanya show Dom na
watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo
Hii
inafuatia Ommy dimpoz hivi karibuni alimdis marehemu Ngwea kuwa alikufa
masikini jambo lililowakera mashabiki wake licha ya dimpoz kuomba
msamaha lakini wapi!