NA HUU NDO UJUMBE ULIONEZWA KUPIPITIA SIMU ZA MKONONI ................
K/MWENEZI (W) CCM MBEYA MJINI MBUZA ANASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA
KUTEKA NA KUTESA WATU KTK KATA YA IYELA ASUBUHI YA LEO. TUMA UJUMBE KWA
WATU 100
PIA SHUHUDA JUNIOR MATUKUTA MWINGINE ALIPO WASILIANA NA BLOGU HII ALIFUNGUKA BAALAAAA HIVI
Kaka huo ni uzushi na uongo.
Me nimeamkia Iyela leo kuhakikisha kunakuwepo na Amani na usalama pamoja na kuzuia Hujuma.
Hawa jamaa zetu ni waongo na waleta propaganda tu hasa kwa upande wa sms ndo jadi yao toka tumeanza Kampeni!
Me nimeamkia Iyela leo kuhakikisha kunakuwepo na Amani na usalama pamoja na kuzuia Hujuma.
Hawa jamaa zetu ni waongo na waleta propaganda tu hasa kwa upande wa sms ndo jadi yao toka tumeanza Kampeni!