MBEYA GREEN CITY MPO TAYALIIIIIIIII
EPIC BONGO STAR SEARCH & SWEET FM MZIGO MKUBWA ANGANI
WANAKULETEA EPIC NIGHT NDANI YA CITY PUB
MASTAA KIBAO TOKA MBEYA KUTOA BONGE LA BURUDANI
GODZILLA,SHETA,WALTER CHILAMBO NA WENGINE KIBAO..
NI IJUMAA YA TAREHE 12 /7,CITY PUB SA 2 USIKU MPK>>>>>
BONGE LA SOUND LITAGONGA NA LIVE ON...
KIINGIILIO NI BUKU 3 TU! 3000/=
USIKU HUU WA EPIC UNALETWA KWENU NA SWEET FM NA KUDHAMINIWA NA ZANTEL
EPIC NATION,GENESISI ELECTRONICS,TAIFA COMPUTER,DUBAI COMPUTER, HC
PED,CITY PUB, TUNARINGA MODERING AGENCY,....