Tuesday, June 18, 2013

BREAKIN NUZZZZZ SUGU APATA AJALI


Muheshimiwa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi amepata ajali hivi punde katika
eneo la kasheki wilayani Hanan'g akielekea Arusha mjini.
Joseph Mbilinyi maaru Sugu alikuwa akielekea Arusha mjini kuungana na
wabunge wengine ktk shughuli ya kuaga marehemu waliolipukiwa na bomu
kwenye mkutano wa Chadema, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katika ajali hiyo hakuna mtu yoyote amejeruhiwa, Mbunge huyo yuko salam,
gari la Sugu limeharibiwa vibaya baada ya kugongana na basi la abiria.